WANAMUZIKI WA TWANGA PEPETA HAMZA MAPANDE,ALLY CHOKI,KALALA JUNIOR NA RAMA PENTAGONE MAPEMA LEO WALIFIKA KATIKA HOSPITALI YA M/NYAMALA KUMJULIA HALI MWENZAO BANZA STONE ALIELAZWA KTK HOSPITALI HIYO WARD NO 5B....TUMUOMBEE BANZA APATE AHUENI ILI ARUDI KTK SHUGHULI ZAKE .KWA SASA HALI YAKE INAENDELEA VIZURI .AMEN...TUENDELEE NA MICHANGO KWA NAMBARI HIZI 0713242680 YA TABU MAMBOSASA Tigo pesa.. NA 0754615571 MPESA JINA EUSTELA NDENJE ...MWISHO WA KUPOKEA MICHANGO NI SIKU YA IJUMAA NA JUMAMOSI ITAFIKISHWA KWA MAMA AKE BANZA STONE..ASANTENI.
LATEST POSTS
Friday, July 3, 2015
Home »
KAVASHA GROUP TANZANIA
» WANAMUZIKI WA TWANGA PEPETA WAMJULIA HALI BANZA STONE MWANANYAMALA HOSPITALI
0 comments:
Post a Comment