LATEST POSTS

Friday, July 3, 2015

WANAKAVASHA NA WATANZANIA KWA UJUMLA MNAOMBWA KUENDELEA KUMCHANGIA BANZA STONE

 
WANAKAVASHA PAMOJA NA MAJUKUMU MENGINE TUTAKAYOJIWEKEA..LIPO HILI LA KUJARIBU KUWASAIDIA WENZETU KATIKA JAMII TULIPO PIA NASI WENYEWE KWA KILE KIDOGO KITAKACHOPATIKANA..HIVYO BASI KUFATIA PENDEKEZO LA MWENZETU KUMCHANGIA GENERAL BANZA WAZO LIMEPITISHWA NA TUNAOMBA TUCHANGIE KUPITIA NAMBARI 0713242680 YA TABU MAMBOSASA Tigo pesa.. NA 0754615571 MPESA JINA EUSTELA NDENJE ...MWISHO WA KUPOKEA MICHANGO NI SIKU YA IJUMAA NA JUMAMOSI ITAFIKISHWA KWA MAMA AKE BANZA STONE..ASANTENI.


0 comments:

Post a Comment