LATEST POSTS

Friday, July 17, 2015

TAARIFA ZA HIVI PUNDE:BANZA STONE AMEFARIKI DUNIA MCHANA HUU




Taarifa zilizotufikia hivi punde zinasema kuwa Mwanamuziki wa Dansi Bongo, Ramadhan Masanja ‘Banza Stone amefari dunia mchana huu nyumbani kwao Sinza jijini Dar es salaam.



Akiongea na Kavasha Blog hivi punde,Kaka wa msanii huyo Jabir Ally Masanja amesema kaka yake amefarik dunia majira ya saba mchana leo,Julai 17,2015.

Mazishi yanatarajiwa kufanyika kesho Saa Kumi Alasiri

Taarifa zaidi tutawaletea hivi punde.....



0 comments:

Post a Comment