
AJALI YA JANA YA BASI LA SIMIYU IMECHUKUA ROHO YA NDUGU YETU KATIKA BURUDANI Emmanuel Binamungu
..TUNASEMA R.I.P , BWANA AMETOA NA AMETWAA, POLE KWA NDUGU NA JAMAA
ZAKE, POLE KWA FAMILIA PENDWA YA CHEZA KIDANSI HUSUSANI KIONGOZI Bernard James POLENI SANA,AHADI IMEFIKA MOLA AMPOKEE KWA AMANI MJA WAKE, Kifo hakina huruma
0 comments:
Post a Comment