LATEST POSTS

Friday, July 24, 2015

HONGERA SANA MAMA SALMA KIKWETE KWA KUCHUKUA JUKUMU LA KUMSOMESHA MTOTO WA BANZA STONE

 

Na Fredy Paschal
Hongera sana Mama Salma J.M.Kikwete kwa kuchukua jukumu la kumsomesha Mtoto Hajji Ramadhani Masanja''Banza Stone'' mwenyezi mungu atakulipia inshallah.Haji Ramadhani Masanja anasoma form 3 turiani sec magomeni..ni yatima baada ya mamaake joyce kapizo kufariki dunia mwanzo mwa miaka ya 2000.mbali na huyu hajji..mama salma anasomesha wanafunz mbalimbali yatima na wasionauwezo katika shule za sec na vyuo pote nchini..wadau mbalimbali wamepongeza hatua hiyo wakiwemo wanamuziki super nyamwera na mmiliki wa twanga pepeta mama asha baraka

0 comments:

Post a Comment